Posts

DALILI ZA MKE ANAYETOKA NJE YA NDOA:

Image
1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume) 2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui 3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki 4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume 5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe 6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu 7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje 8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe 9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu’ inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo. 10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi Dalili za mume anayetoka nje ya ndoa: 1) Unakuta Condom kwenye mkoba wake au kwenye gari lake wakati umefunga kizazi au unatumia vidonge vya majira. 2) Anapunguza au anaacha kabisa kuwa outing na familia yake

DALILI 10 ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA.

Image
ANAVYOTAZAMA Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50.   Hii ina maana kwamba mwanaume anapotumia muda wake mwingi kumtazama msichana na kugeuka taratibu kuangalia vitu vingine kama mtu asiyependa kuacha kumwangalia, ujue anampenda. MIPANGO   Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali katika kulifanikisha hilo. Ukiona mwanaume anakuficha mambo yake, tambua kuwa huyo ana walakini kwenye penzi la dhati na la muda mrefu. ATAONESHA HUZUNI Katika maisha ya mapenzi kuna wakati wa kuhuzunika. Mwanaume mwenye upendo wa dhati atashirikiana nawe wakati wa huzuni na kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa unapata furaha.   ATAKUAMINI Dalili nyingine ya kupendwa na mwan

Mwanamke Ukiona Unatongozwa na Kila Mwanaume Ujue wewe ni....

Image
Kuna wanawake kadhaa huwa wanafurahia sana kuwa wao kila wanapopita wanaume wanawatongoza. wanaongea kwa majidai sana na furaha kama vile ni jambo la kujivunia. Ukweli ni kuwa mwanamke ukiona unatongozwa kila sehemu na kila mwanaume ujue wewe ni kimeo sana. sana yaani kila mtu anaona kuwa ana uwezo wa kukupata. unakuwa kama vile daladala au bodaboda kila mwenye uwezo wa kusimamisha anasimamisha. ni kuwa upo kiwango cha kuwa used anytime na anybody. so epuka hali inayokufanya uonekane cheap. usifurahie kuwa kila unapopita watu wanapiga miluzi na kukufurahia wakikuita ukaona kuwa una nyota ya kupendwa. ujue una nyota ya mbwa kupigiwa miluzi au nyota ya uchafu kufuatwa na inzi. haiwezekani kila mtu anakusimamisha kukutaka kimapenzi. muuza maji, dereva wa boda boda, dereve wa daladala. dereva taxi, jamaa tu njiani kakuona, mwanasheria,ukienda hosp dokta anakutaka, nurse naye anakutaka, ukienda shule mwalimu naye anakutongoza. ukienda ofis flan hr naye anakutaka, mlinzi naye... yaan wewe

#UyineneMrwetyana: South Africans Storm Twitter Against University Student's Rape, Murder

Image
South African women started a viral hashtag #UyineneMrwetyana showing their solidarity and support for the victim while sharing stories of other cases of sexual violence. 

SHE SEX WITH MY HUSBAND IN MY HOUSE ---PLAY THIS VIDEO

Image
SHE SEX WITH MY HUSBAND IN MY HOUSE  ---PLAY THIS VIDEO

Chat Whatsapp Link Join

Image

Join Whatsapp Group Link

Image